Naibu Waziri Wizara ya Maji Mhandisi Maryprisca Mahundi pamoja na Mkuu wa MKoa wa Ruvuma Kanali Laban Thomas. wakiwa kwenye picha ya pamoja na Mkandarasi wa Kampuni ya China Civil Engineering Construction Corporation ambayo imesaini mkataba wa ujenzi wa mradi wa Maji wa Miji 28. Hafla hiyo imefanyika Manispaa Songea Machi 10, 2023
Regional Commissioner Office
Anuwani: 1 TUNDURU ROAD, 57180 S.L.P 74,SONGEA, RUVUMA.
Simu: 0252602256
Simu ya Mkononi: 0252602256
Barua Pepe: ras.ruvuma@tamisemi.go.tz
Copyright ©2017 Ruvuma . All rights reserved.