• Malalamiko |
    • Wasiliana nasi |
    • Majibu ya haraka |
    • Barua Pepe za Watumishi |
    • RSFMIS |
Ruvuma Region

Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Mkoa wa Ruvuma

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhamira
    • Uongozi wa Mkoa
  • Utawala
    • Muundo wa Sekretarieti
    • Idara
      • Uchumi na Uzalishaji
      • Mipango na Uratibu
      • Utawala na Rasilimali Watu
      • Elimu
      • Miundombinu
      • Maji
      • Afya
      • Menejimenti ya Serikali za Mitaa
    • Vitengo
      • Uhasibu na Fedha
      • Sheria
      • Tehama
      • Ukaguzi wa Ndani
      • Manunuzi na Ugavi
  • Wilaya
    • Wilaya ya Songea
    • Wilaya ya Mbinga
    • Wilaya ya Nyasa
    • Wilaya ya Tunduru
    • Wilaya ya Nantumbo
  • Halmashauri
    • Halmashauri ya Wilaya ya Madaba
    • Halmashauri ya Wilaya ya Mbinga
    • Halmashauri ya Wilaya ya Mbinga Mji
    • Halmashauri ya Wilaya ya Nyasa
    • Halmashauri ya Wilaya ya Namtumbo
    • Halmashauri ya Wilaya ya Songea
    • Halmashauri ya Manispaa ya Songea
    • Halmashauri ya Wilaya ya Tunduru
  • Fursa za Uwekezaji
    • Mifugo
    • Kilimo
    • Vivutio vya Utalii
    • Madini
    • Nyaraka za uwekezaji
  • Huduma
    • Huduma za Afya
    • Huduma za Elimu
  • Machapisho
    • Miongozo na Nyaraka za uwekezaji
    • Taratibu
    • Taarifa
    • jarida
    • fomu
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa Umma
    • Video
    • Hotuba za Viongozi
    • Maktaba ya Picha
    • habari
    • Matukio

MBAMBABAY ni kitovu cha utalii mkoani Ruvuma

Imewekwa kuanzia tarehe: June 10th, 2020

WILAYA ya Nyasa mkoani Ruvuma imebarikiwa kuwa na fukwe za asili ambazo hazifanani na fukwe nyingine zozote duniani na endapo zitaendelezwa zinaweza kuwa chanzo muhimu cha mapato katika wilaya ya Nyasa

Wananchi wa mikoa ya kusini ukiwemo mkoa wa Ruvuma bado hawajanufaika katika sekta ya utalii moja ya sababu kubwa ni kwamba wananchi wa mikoa ya kusini hawajapata elimu sahihi kuhusu utalii na faida zake.

Mwenyekiti wa Mtandao usio wa Kiserikali wa Mkoa wa Ruvuma RUNECISO Michael Mahecha ametoa wito Wananchi na wadau mbalimbali kuziendeleza fukwe zilizopo ili kuwavutia Watalii wa Ndani na Nje ya Nchi.

Mwenyekiti huyo ameyasema  wananchi wa maeneo ya mwambao mwa ziwa Nyasa kushindwa kutumia fursa za utalii zilizopo  badala yake wamekuwa mstari wa mbele kuuza Fukwe kwa wageni wanaofika kutoka nje ya wilaya hiyo.

MILANGO ya utalii mwambao mwa ziwa Nyasa mkoani Ruvuma inaendelea kufunguka ambapo sasa serikali  inatarajia kuanzisha bustani ya wanyamapori katika Milima miwili na visiwa viwili vilivyopo wilayani Nyasa mkoani Ruvuma.

Kutokana na hali hiyo Afisa Maliasili na Utalii wa Mkoa wa Ruvuma anasema tayari mchakato wa kuendeleza Mbamba Hill iliyopo mjini Mbambabay Makao makuu ya Wilaya ya Nyasa  kuwa hifadhi ya wanyama unaendelea vizuri na kwamba ya tayari bajeti imepitishwa.

“Tumeshapima eneo lote la Mbamba Hill,ina ukubwa wa hekta 420,ndani ya hifadhi hiyo kuna wanyama kama nyani, nyoka, pimbi,chui na ndege wa aina mbalimbali’’, anasema Challe.

Challe anabainisha kuwa hifadhi hiyo imeunganishwa na kisiwa kinachoitwa Zambia ambacho kipo meta 300 toka ufukweni mwa ziwa Nyasa na kwamba kisiwa hicho kina utajiri wa aina mbalimbali za samaki wa mapambo ambao ni kivutio cha watalii.


Matangazo

  • JARIDA la RS Ruvuma toleo la Aprili 2025 April 30, 2025
  • VIGEZO vya kupata leseni ya biashara September 30, 2025
  • FURSA za uwekezaji mkoani Ruvuma June 30, 2025
  • ORODHA ya nyumba za kulala wageni mkoani Ruvuma December 31, 2025
  • Tazama zote

Habari Mpya

  • MWENGE wa Uhuru waikubali miradi yote Madaba

    May 09, 2025
  • RC Ruvuma ALIVYOSHIRIKI Makabidhiano mradi wa ujenzi wa Chuo cha Uhasibu Songea

    May 08, 2025
  • SERIKALI yatenga bilioni 18.5 kujenga chuo kikuu Ruvuma

    May 08, 2025
  • MWENGE wa Uhuru kukagua,kuzindua miradi 76 Ruvuma

    May 08, 2025
  • Tazama zote

Video

HAKIKISHA unafika kanisa la Peramiho-Rais Samia
Video Zaidi

Viungio vya Haraka

  • Songea Municipal Council
  • Mbinga District Council
  • Tunduru District Council
  • Madaba District Council
  • Nyasa District Council
  • Namtumbo Dictrict Council
  • Mbinga Town Council
  • Songea District Council

Tovuti Muhimu

  • Utumishi Portal
  • Government Portal
  • Tamisemi
  • Tanzania Revenue Authority

Waliotembelea Kijiografia

world map hits counter

Waliotembelea

free HitCounter

Ramani ya Eneo

Wasiliana nasi

    Regional Commissioner Office

    Anuwani: 1 TUNDURU ROAD, 57180 S.L.P 74,SONGEA, RUVUMA.

    Simu: 0252602256

    Simu ya Mkononi: KERO PIGA 0800110174

    Barua Pepe: ras.ruvuma@tamisemi.go.tz

Mawasiliano Mengine

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Majibu ya haraka
    • Ramani ya Mahala
    • Huduma

Copyright ©2017 Ruvuma . All rights reserved.