MILANGO ya utalii katika wilaya ya Nyasa mkoani Ruvuma imefunga baada ya serikali ya Awamu ya Tano inayoongozwa na Rais Dkt.John Magufuli kukamilisha mradi wa ujenzi wa barabara ya lami nzito yenye urefu wa kilometa 66 toka mjini Songea hadi Mbambabay.Pia serikali imejenga meli tatu kati ya hizo mbili za mizigo na moja ya abiria hali ambayo imeifanya wilaya ya Nyasa na mwambao mwa ziwa Nyasa kufungua. Wawekezaji wa ndani na nje ya nchi sasa mnakaribishwa kuwekeza katika wilaya hiyo ambayo ni kitovu cha utalii katika Mkoa wa Ruvuma.
Regional Commissioner Office
Anuwani: 1 TUNDURU ROAD, 57180 S.L.P 74,SONGEA, RUVUMA.
Simu: 0252602256
Simu ya Mkononi: 0252602256
Barua Pepe: ras.ruvuma@tamisemi.go.tz
Copyright ©2017 Ruvuma . All rights reserved.