Mkuu wa wilaya ya Mbinga Mhe. Kisare Matiku Makori akipanda mti katika Chuo Cha Maendeleo ya Jamii FDC kwa lengo la kuhamasisha upandaji miti katika kipindi cha mvua za masika .Lengo la Mkoa wa Ruvuma kila mwaka ni kuhakikisha Taasisi za serikali,shule za msingi,sekondari ,vyuo na watu binafsi wanapanda miti katika ,kipindi cha mvua kuanziia Mwezi Desemba hadi Aprili kila mwaka
Regional Commissioner Office
Anuwani: 1 TUNDURU ROAD, 57180 S.L.P 74,SONGEA, RUVUMA.
Simu: 0252602256
Simu ya Mkononi: 0252602256
Barua Pepe: ras.ruvuma@tamisemi.go.tz
Copyright ©2017 Ruvuma . All rights reserved.