KATIBU Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi Taifa Balozi Dkt.Emanuel Nchimbi ameendelea na ziara yake mkoani Ruvuma kwa kutembelea wilaya ya Mbinga ambako wanachama wa CCM na wananchi wa Mbinga wamejitokeza kwa wingi kwenye eneo la mapokezi hoteli maarufu mkoani Ruvuma ya One Pacific.Katibu Mkuu katika ziara hiyo ameongozana na Katibu wa Taifa wa Itikadi,Uenezi na mafunzo Ndugu Amosi Makalla wakiwa na Mwenyeji wao Mkuu wa Mkoa wa Ruvuma Kanali Ahmed Abbas Ahmed
Regional Commissioner Office
Anuwani: 1 TUNDURU ROAD, 57180 S.L.P 74,SONGEA, RUVUMA.
Simu: 0252602256
Simu ya Mkononi: 0252602256
Barua Pepe: ras.ruvuma@tamisemi.go.tz
Copyright ©2017 Ruvuma . All rights reserved.