Mkuu wa Wilaya ya Mbinga mkoani Ruvuma Mheshimiwa Kisare Makori ameipongeza Halmashauri ya Wilaya ya Mbinga kwa kukusanya mapato kwa asilimia 110 na kuweza kupata Hati Safi.
Makori ametoa pongezi hizo wakati anatoa salamu za Wilaya katika kikao maalum cha Baraza la madiwani cha kujadili taarifa ya Mkaguzi na Mdhibiti Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG) juu ya hoja na mapendekezo CAG kwa hesabu za Mamlaka ya Serikali za Mitaa kwa mwaka wa fedha wa 2022/2023 kwa Halmashauri ya Wilaya ya Mbinga.
Regional Commissioner Office
Anuwani: 1 TUNDURU ROAD, 57180 S.L.P 74,SONGEA, RUVUMA.
Simu: 0252602256
Simu ya Mkononi: 0252602256
Barua Pepe: ras.ruvuma@tamisemi.go.tz
Copyright ©2017 Ruvuma . All rights reserved.