• Malalamiko |
    • Wasiliana nasi |
    • Majibu ya haraka |
    • Barua Pepe za Watumishi |
    • RSFMIS |
Ruvuma Region

Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Mkoa wa Ruvuma

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhamira
    • Uongozi wa Mkoa
  • Utawala
    • Muundo wa Sekretarieti
    • Idara
      • Uchumi na Uzalishaji
      • Mipango na Uratibu
      • Utawala na Rasilimali Watu
      • Elimu
      • Miundombinu
      • Maji
      • Afya
      • Menejimenti ya Serikali za Mitaa
    • Vitengo
      • Uhasibu na Fedha
      • Sheria
      • Tehama
      • Ukaguzi wa Ndani
      • Manunuzi na Ugavi
  • Wilaya
    • Wilaya ya Songea
    • Wilaya ya Mbinga
    • Wilaya ya Nyasa
    • Wilaya ya Tunduru
    • Wilaya ya Nantumbo
  • Halmashauri
    • Halmashauri ya Wilaya ya Madaba
    • Halmashauri ya Wilaya ya Mbinga
    • Halmashauri ya Wilaya ya Mbinga Mji
    • Halmashauri ya Wilaya ya Nyasa
    • Halmashauri ya Wilaya ya Namtumbo
    • Halmashauri ya Wilaya ya Songea
    • Halmashauri ya Manispaa ya Songea
    • Halmashauri ya Wilaya ya Tunduru
  • Fursa za Uwekezaji
    • Mifugo
    • Kilimo
    • Vivutio vya Utalii
    • Madini
    • Nyaraka za uwekezaji
  • Huduma
    • Huduma za Afya
    • Huduma za Elimu
  • Machapisho
    • Miongozo na Nyaraka za uwekezaji
    • Taratibu
    • Taarifa
    • jarida
    • fomu
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa Umma
    • Video
    • Hotuba za Viongozi
    • Maktaba ya Picha
    • habari
    • Matukio

MBIO maalum za Mwenge wa Uhuru kufungua miradi ya zaidi ya bilioni 12 Ruvuma

Imewekwa kuanzia tarehe: September 1st, 2021

JUMLA ya miradi  34 yenye thamani ya Sh. Bilioni 12,626,057,642.40  inatarajiwa kufikiwa na Mbio za Mwenge wa Uhuru mwaka  2021 iliyotekelezwa na Serikali na kusimamiwa na wananchi katika mkoa wa Ruvuma.

Mkuu wa mkoa huo Brigedia Jenerali Wilbert Ibuge amesema hayo leo(jana) wakati akiongea na waandishi wa Habari Ofisini kwake ambapo ameeleza kuwa,kati ya  hiyo miradi miradi kumi yenye thamani bilioni 2,629,431,922.61 itazinduliwa.

Aidha ametaja,miradi minne yenye thamani ya Sh. Milioni 439,945,705.37 itafunguliwa,miradi minane yenye thamani ya Sh. Bilioni 8,192,394,296.40 itawekewa jiwe la msingi na miradi kumi na sita yenye thamani ya Sh. Bilioni 1,364,285,718.02 itatembelewa na kukaguliwa pamoja na kugawa vifaa mbalimbali.

Mkuu wa mkoa amesema,  Mwenge wa Uhuru ukiwa mkoani Ruvuma utakimbizwa katika wilaya zote tano kuanzia kesho tarehe 2 Agosti hadi tarehe 6 kwa umbali wa km 1,055.1.

Ujumbe wa Mwenge wa Uhuru mwaka 2021 umebeba  ujumbe unaojikita katika umuhimu wa TEHAMA kwa maendeleo endelevu ya Taifa letu ambao unawakumbusha na kuwataka Wananchi  wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kutumia maendeleo ya Tehama kwa usahihi.

Brigedia Jenerali Ibuge amesema, mkoa wa Ruvuma una shauku  na ari kubwa ya kuupokea  na kuukimbiza Mwenge wa Uhuru ili kutimza malengo yake.Pia,amewakumbusha wananchi wote kuendelea kuchukua tahadhari ya ugonjwa wa Uvico 19 kwa kuvaa Barakoa  muda wote wawapo kwenye mikusanyiko,kunawa mikono kwa maji tiririka na sabuni na kutumia vipukusa mikono mara kwa mara.

Brigedia Jenerali Ibuge amesema, katika maeneo yote ya mkesha wa Mwenge,zoezi la utoaji chanjo ya Uvico -19 kwa hiari litaendelea.

Imeandikwa na Albano Midelo

Afisa Habari Mkoa wa Ruvuma

Septemba Mosi,2021

Matangazo

  • JARIDA la RS Ruvuma toleo la Aprili 2025 April 30, 2025
  • VIGEZO vya kupata leseni ya biashara September 30, 2025
  • FURSA za uwekezaji mkoani Ruvuma June 30, 2025
  • ORODHA ya nyumba za kulala wageni mkoani Ruvuma December 31, 2025
  • Tazama zote

Habari Mpya

  • MWENGE wa Uhuru waikubali miradi yote Madaba

    May 09, 2025
  • RC Ruvuma ALIVYOSHIRIKI Makabidhiano mradi wa ujenzi wa Chuo cha Uhasibu Songea

    May 08, 2025
  • SERIKALI yatenga bilioni 18.5 kujenga chuo kikuu Ruvuma

    May 08, 2025
  • MWENGE wa Uhuru kukagua,kuzindua miradi 76 Ruvuma

    May 08, 2025
  • Tazama zote

Video

HAKIKISHA unafika kanisa la Peramiho-Rais Samia
Video Zaidi

Viungio vya Haraka

  • Songea Municipal Council
  • Mbinga District Council
  • Tunduru District Council
  • Madaba District Council
  • Nyasa District Council
  • Namtumbo Dictrict Council
  • Mbinga Town Council
  • Songea District Council

Tovuti Muhimu

  • Utumishi Portal
  • Government Portal
  • Tamisemi
  • Tanzania Revenue Authority

Waliotembelea Kijiografia

world map hits counter

Waliotembelea

free HitCounter

Ramani ya Eneo

Wasiliana nasi

    Regional Commissioner Office

    Anuwani: 1 TUNDURU ROAD, 57180 S.L.P 74,SONGEA, RUVUMA.

    Simu: 0252602256

    Simu ya Mkononi: KERO PIGA 0800110174

    Barua Pepe: ras.ruvuma@tamisemi.go.tz

Mawasiliano Mengine

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Majibu ya haraka
    • Ramani ya Mahala
    • Huduma

Copyright ©2017 Ruvuma . All rights reserved.