• Malalamiko |
    • Wasiliana nasi |
    • Majibu ya haraka |
    • Barua Pepe za Watumishi |
    • RSFMIS |
Ruvuma Region

Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Mkoa wa Ruvuma

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhamira
    • Uongozi wa Mkoa
  • Utawala
    • Muundo wa Sekretarieti
    • Idara
      • Uchumi na Uzalishaji
      • Mipango na Uratibu
      • Utawala na Rasilimali Watu
      • Elimu
      • Miundombinu
      • Maji
      • Afya
      • Menejimenti ya Serikali za Mitaa
    • Vitengo
      • Uhasibu na Fedha
      • Sheria
      • Tehama
      • Ukaguzi wa Ndani
      • Manunuzi na Ugavi
  • Wilaya
    • Wilaya ya Songea
    • Wilaya ya Mbinga
    • Wilaya ya Nyasa
    • Wilaya ya Tunduru
    • Wilaya ya Nantumbo
  • Halmashauri
    • Halmashauri ya Wilaya ya Madaba
    • Halmashauri ya Wilaya ya Mbinga
    • Halmashauri ya Wilaya ya Mbinga Mji
    • Halmashauri ya Wilaya ya Nyasa
    • Halmashauri ya Wilaya ya Namtumbo
    • Halmashauri ya Wilaya ya Songea
    • Halmashauri ya Manispaa ya Songea
    • Halmashauri ya Wilaya ya Tunduru
  • Fursa za Uwekezaji
    • Mifugo
    • Kilimo
    • Vivutio vya Utalii
    • Madini
    • Nyaraka za uwekezaji
  • Huduma
    • Huduma za Afya
    • Huduma za Elimu
  • Machapisho
    • Miongozo na Nyaraka za uwekezaji
    • Taratibu
    • Taarifa
    • jarida
    • fomu
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa Umma
    • Video
    • Hotuba za Viongozi
    • Maktaba ya Picha
    • habari
    • Matukio

MBOLEA ndiyo uhai wa Mkoa wa Ruvuma-RC THOMAS

Imewekwa kuanzia tarehe: December 15th, 2022

MKUU wa Mkoa wa Ruvuma Kanali Laban Thomas amewatoa hofu wananchi kuwa  mbolea ipo ya kutosha na kwamba mbolea ndiyo uhai wa Mkoa wa Ruvuma.

Akizungumza na wananchi  Wilayani Mbinga Kanali Thomas amesema changamoto ni Mfumo wa kieletroniki ambao unashughuliwa na wananchi watapata mbolea ya ruzuku ambayo imetolewa na Mheshimiwa Rais Dkt.Samia Suluhu Hassan ili kuwapunguzia gharama kubwa ya mbolea iliyokuwepo Kabla ya Mfumo huu.

Hata hivyo amesema amekutana na Kamati iliyoundwa toka Wizara ya Kilimo ambayo ipo mkoani Ruvuma kwa lengo la kufanya tathmini ya ufuatiliaji wa mbolea ya ruzuku.

“Nawaagiza wakuu wa Wilaya fuatilieni usambazaji wa mbolea na kuhakikisha zinawafikia wananchi,kama kuna mtu yeyote anaficha mbolea achukuliwe hatua “,alisisitiza Kanali Thomas.

Awali akitoa taarifa ya upatikanaji wa mbolea katika Wilaya ya Mbinga,Mkuu wa Wilaya hiyo Mheshimiwa Aziza Mangosongo amesema katika Halmashauri ya Mbinga pekee hadi sasa kuna mbolea zaidi ya tani 2600 na kwamba siku ya Desemba 14 Wilaya imepokea tani 1200 za mbolea ya ruzuku.

Amesema Wilaya inatarajia kutumia vyama vya Ushirika vya Msingi AMCOS kupeleka mbolea kwa wananchi ili kupunguza kero ya umbali.

Mkoa wa Ruvuma kwa miaka minne mfululizo umekuwa ndiyo kapu la chakula la Taifa kwa kuongoza katika uzalishaji wa mazao ya chakula nchini.

Matangazo

  • JARIDA la RS Ruvuma toleo la Aprili 2025 April 30, 2025
  • VIGEZO vya kupata leseni ya biashara September 30, 2025
  • FURSA za uwekezaji mkoani Ruvuma June 30, 2025
  • ORODHA ya nyumba za kulala wageni mkoani Ruvuma December 31, 2025
  • Tazama zote

Habari Mpya

  • MWENGE wa Uhuru waikubali miradi yote Madaba

    May 09, 2025
  • RC Ruvuma ALIVYOSHIRIKI Makabidhiano mradi wa ujenzi wa Chuo cha Uhasibu Songea

    May 08, 2025
  • SERIKALI yatenga bilioni 18.5 kujenga chuo kikuu Ruvuma

    May 08, 2025
  • MWENGE wa Uhuru kukagua,kuzindua miradi 76 Ruvuma

    May 08, 2025
  • Tazama zote

Video

HAKIKISHA unafika kanisa la Peramiho-Rais Samia
Video Zaidi

Viungio vya Haraka

  • Songea Municipal Council
  • Mbinga District Council
  • Tunduru District Council
  • Madaba District Council
  • Nyasa District Council
  • Namtumbo Dictrict Council
  • Mbinga Town Council
  • Songea District Council

Tovuti Muhimu

  • Utumishi Portal
  • Government Portal
  • Tamisemi
  • Tanzania Revenue Authority

Waliotembelea Kijiografia

world map hits counter

Waliotembelea

free HitCounter

Ramani ya Eneo

Wasiliana nasi

    Regional Commissioner Office

    Anuwani: 1 TUNDURU ROAD, 57180 S.L.P 74,SONGEA, RUVUMA.

    Simu: 0252602256

    Simu ya Mkononi: KERO PIGA 0800110174

    Barua Pepe: ras.ruvuma@tamisemi.go.tz

Mawasiliano Mengine

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Majibu ya haraka
    • Ramani ya Mahala
    • Huduma

Copyright ©2017 Ruvuma . All rights reserved.