Kulia ni Mbunge wa Jimbo la Namtumbo mkoani Ruvuma Mheshimiwa Vita Kawawa akikabidhiwa majiko ya gesi ya Mwakilishi wa Mkurugenzi wa ORYX Tanzania Peter Ndomba ambapo Mbunge huyo ametoa majiko ya gesi 300 yenye thamani ya shilingi milioni 25 kwa wajasiriamali wadogo ili kuunga mkono kampeni ya matumizi ya nishati safi.
Hafla ya ugawaji wa majiko hayo ya gesi imefanywa na Mbunge huyo katika ukumbi wa sekondari ya wasichana ya Dkt Samia Suluhu Hassan eneo la Migelegele mjini Namtumbo.
Regional Commissioner Office
Anuwani: 1 TUNDURU ROAD, 57180 S.L.P 74,SONGEA, RUVUMA.
Simu: 0252602256
Simu ya Mkononi: 0252602256
Barua Pepe: ras.ruvuma@tamisemi.go.tz
Copyright ©2017 Ruvuma . All rights reserved.