Baadhi ya watumishi wa hospitali ya Rufaa ya Mkoa,Songea (HOMSO) wakiwa katika picha ya pamoja na Mbunge wa Songea mjini ambaye pia ni Waziri wa Utamaduni.Sanaa na Michezo Dkt Damas Ndumbaro ambaye alikuwa mgeni rasmi kwenye makabidhiano ya gari lililotolewa na Serikali kupitia Wizara ya Afya kwa ajili ya hospitali hiyo.
Regional Commissioner Office
Anuwani: 1 TUNDURU ROAD, 57180 S.L.P 74,SONGEA, RUVUMA.
Simu: 0252602256
Simu ya Mkononi: 0252602256
Barua Pepe: ras.ruvuma@tamisemi.go.tz
Copyright ©2017 Ruvuma . All rights reserved.