MBUNGE wa Jimbo la Nyasa mkoani Ruvuma Stella Manyanya ameipongeza serikali ya Awamu ya Sita inayoongozwa na Rais Dkt.Samia Suluhu Hassan kwa kuendelea kutekeleza miradi mbalimbali ya maendeleo katika Wilaya ya Nyasa ambapo hivi karibu serikali kupitia TANROADS imeanza kutekeleza ujenzi wa daraja la Mitomoni ambalo linaunganisha wilaya za Nyasa na Songea kupitia Mto Ruvuma.
Manyanya ametoa pongezi hizo wakati anazungumza kwenye mkutano wa kampeni za uchaguzi wa serikali za mitaa uliofanyika kwenye viwanja vya kijiji cha Tingi wilayani Nyasa
Regional Commissioner Office
Anuwani: 1 TUNDURU ROAD, 57180 S.L.P 74,SONGEA, RUVUMA.
Simu: 0252602256
Simu ya Mkononi: 0252602256
Barua Pepe: ras.ruvuma@tamisemi.go.tz
Copyright ©2017 Ruvuma . All rights reserved.