Mbunge wa Songea Mjini Dkt. Damas Ndumbaro amemshukuru Mheshimiwa Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan kwa kotoa shilingi bilioni 145.77 kwa ajili ya ujenzi wa maradi wa maji katika Mji wa songea
Dtk. Ndumbaro ametoa shukrani hizo wakati wa hafla ya utiaji saini mkataba wa ujenzi wa mradi wa Maji wa Miji 28 katika Mji wa Songea. Iliyofanyika hivi karibuni kwenye uwanja wa Shule ya msingi Mtarawe na kuhudhuriwa na viongozi mbalimbali pamoja na wananchi.
“Leo tunakazi moja ya kuupokea mradi huu tena tumeupokea kwa vitendo kwa sababu tumeshuhudia mbele yetu wakitia saini na mkandarasi lakini tumshukuru Rais kwa kuchukua kodi za watanzania kuja kutukomboa sisi wana songea”
Regional Commissioner Office
Anuwani: 1 TUNDURU ROAD, 57180 S.L.P 74,SONGEA, RUVUMA.
Simu: 0252602256
Simu ya Mkononi: 0252602256
Barua Pepe: ras.ruvuma@tamisemi.go.tz
Copyright ©2017 Ruvuma . All rights reserved.