• Malalamiko |
    • Wasiliana nasi |
    • Majibu ya haraka |
    • Barua Pepe za Watumishi |
    • RSFMIS |
Ruvuma Region

Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Mkoa wa Ruvuma

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhamira
    • Uongozi wa Mkoa
  • Utawala
    • Muundo wa Sekretarieti
    • Idara
      • Uchumi na Uzalishaji
      • Mipango na Uratibu
      • Utawala na Rasilimali Watu
      • Elimu
      • Miundombinu
      • Maji
      • Afya
      • Menejimenti ya Serikali za Mitaa
    • Vitengo
      • Uhasibu na Fedha
      • Sheria
      • Tehama
      • Ukaguzi wa Ndani
      • Manunuzi na Ugavi
  • Wilaya
    • Wilaya ya Songea
    • Wilaya ya Mbinga
    • Wilaya ya Nyasa
    • Wilaya ya Tunduru
    • Wilaya ya Nantumbo
  • Halmashauri
    • Halmashauri ya Wilaya ya Madaba
    • Halmashauri ya Wilaya ya Mbinga
    • Halmashauri ya Wilaya ya Mbinga Mji
    • Halmashauri ya Wilaya ya Nyasa
    • Halmashauri ya Wilaya ya Namtumbo
    • Halmashauri ya Wilaya ya Songea
    • Halmashauri ya Manispaa ya Songea
    • Halmashauri ya Wilaya ya Tunduru
  • Fursa za Uwekezaji
    • Mifugo
    • Kilimo
    • Vivutio vya Utalii
    • Madini
    • Nyaraka za uwekezaji
  • Huduma
    • Huduma za Afya
    • Huduma za Elimu
  • Machapisho
    • Miongozo na Nyaraka za uwekezaji
    • Taratibu
    • Taarifa
    • jarida
    • fomu
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa Umma
    • Video
    • Hotuba za Viongozi
    • Maktaba ya Picha
    • habari
    • Matukio

MBUNGE wa wafanyakazi asikiliza kero za watumishi Madaba

Imewekwa kuanzia tarehe: November 17th, 2023

MBUNGE Viti maalumu anyewakilisha Watumishi Tanzania Ofisi ya Rais  Utumishi na Utawala bora  Alice Kaijage ametembelea Halmashauri ya Wilaya ya Madaba na kusikiliza kero na changamoto za watumishi.

Akizungumza katika kikao hicho kabla  ya kuwasikiliza watumishi hao Kaijage amewapongeza kwa kazi kubwa wanazofanya bila kujali changamoto nyingi wanazo kabiliana nazo katika utendaji kazi.

“Ningeweza kwenda kinondoni lakini nikaona nije Nyanda za juu kusini ikiwemo Halmashauri ya Wilaya ya Madaba niwaone na niwasikilize ili nikawasemee”.

Hata hivyo Kaijange mara baada ya kuwasikiliza watumishi hao amesema changamoto zote walizozitoa atazifanyia kazi ili kuhakikisha watumishi wanafanya kazi katika mazingira rafiki.

“Bajeti iliyopita kwa miaka mitatu eneo la utumishi halikuachwa na Serikali imeweza kubadilisha miundo na Kada ya watumishi 30,245 na imehuishwa na kusainiwa na kuanzakufanya kazi  ilikuwa ni kilio cha miaka mingi”.

Kaijage  amesema bajeti ya miaka mitatu watumishi zaidi ya laki nne wamepandishwa madaraja na kugharimu zaidi ya Shilingi Tilioni moja ikiwa upande wa malimbikizo ya mishahara Rais amegusa kwa miaka mitatu na ajira mpya zaidi ya laki moja na ajira elfu 21 Serikali za Mitaa.

“Nasema hayo kwasababu  niko kazini  Rais Samia ni msikivu amefanya kazi  kubwa na anania njema na watumishi”.

Hata hivyo amesema Serikali ya awamu ya sita inagusa kila idara ikiwemo miradi ya Afya na Elimu,na watumishi ikiwa kwa muda wa miaka  mitatu ameshusha fedha nyingi katika Halmashauri zote Tanzania hivyo ametoa rai kuendelea kumuunga mkono  Rais kwa kufanya kazi kwa bidii.

Matangazo

  • JARIDA la RS Ruvuma toleo la Aprili 2025 April 30, 2025
  • VIGEZO vya kupata leseni ya biashara September 30, 2025
  • FURSA za uwekezaji mkoani Ruvuma June 30, 2025
  • ORODHA ya nyumba za kulala wageni mkoani Ruvuma December 31, 2025
  • Tazama zote

Habari Mpya

  • MWENGE wa Uhuru waikubali miradi yote Madaba

    May 09, 2025
  • RC Ruvuma ALIVYOSHIRIKI Makabidhiano mradi wa ujenzi wa Chuo cha Uhasibu Songea

    May 08, 2025
  • SERIKALI yatenga bilioni 18.5 kujenga chuo kikuu Ruvuma

    May 08, 2025
  • MWENGE wa Uhuru kukagua,kuzindua miradi 76 Ruvuma

    May 08, 2025
  • Tazama zote

Video

HAKIKISHA unafika kanisa la Peramiho-Rais Samia
Video Zaidi

Viungio vya Haraka

  • Songea Municipal Council
  • Mbinga District Council
  • Tunduru District Council
  • Madaba District Council
  • Nyasa District Council
  • Namtumbo Dictrict Council
  • Mbinga Town Council
  • Songea District Council

Tovuti Muhimu

  • Utumishi Portal
  • Government Portal
  • Tamisemi
  • Tanzania Revenue Authority

Waliotembelea Kijiografia

world map hits counter

Waliotembelea

free HitCounter

Ramani ya Eneo

Wasiliana nasi

    Regional Commissioner Office

    Anuwani: 1 TUNDURU ROAD, 57180 S.L.P 74,SONGEA, RUVUMA.

    Simu: 0252602256

    Simu ya Mkononi: KERO PIGA 0800110174

    Barua Pepe: ras.ruvuma@tamisemi.go.tz

Mawasiliano Mengine

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Majibu ya haraka
    • Ramani ya Mahala
    • Huduma

Copyright ©2017 Ruvuma . All rights reserved.