MDAHALO wa kumbukizi ya mashujaa wa vita ya Majimaji wapato 67 waliuawa kikatili na wajerumani kwa kunyongwa Februaari 27,1906 unatarajia kufanyika mjini Tunduru Februari 25,2023 ambapo pia baada ya mada mbalimbali kutolewa kwenye mdahalo huo,wajumbe na wananchi wanapata fursa ya kutembelea vivutio vya utalii katika wilaya ya Tunduru liliwemo eneo la Masonya lenye utajiri wa historia ya harakati za ukombozi kusini mwa Afrika.
Regional Commissioner Office
Anuwani: 1 TUNDURU ROAD, 57180 S.L.P 74,SONGEA, RUVUMA.
Simu: 0252602256
Simu ya Mkononi: 0252602256
Barua Pepe: ras.ruvuma@tamisemi.go.tz
Copyright ©2017 Ruvuma . All rights reserved.