Meli ya Mv Chambo, kutoka nchini Msumbiji ikiwa imetia nanga bandari ya Mbamba bay wilayani Nyasa ziwa Nyasa mkoani Ruvuma .
Nahodha wa Meli hiyo alisema kuwa meli hiyo ilitia nanga katika bandari ya Mbambabay ikiwa safarini kuelekea bandari ya Kiwira wilayani Kyela mkoani Mbeya wa ajili ya kufanyiwa matengenezo na Kampuni ya Songoro Marine ambayo hutengeneneza meli.
Serikali imetoa shilingi bilioni 80 kuanza ujenzi na upanuzi wa bandari ya Mbambabay ambayo itakuwa kubwa kuliko zote katika ziwa Nyasa .
Hii ni fursa pia kwa nchi jirani za Msumbiji na Malawi kuitumia kikamilifu bandari hiyo ujenzi wake utakapokamilika kwa asilimia 100.
Regional Commissioner Office
Anuwani: 1 TUNDURU ROAD, 57180 S.L.P 74,SONGEA, RUVUMA.
Simu: 0252602256
Simu ya Mkononi: 0252602256
Barua Pepe: ras.ruvuma@tamisemi.go.tz
Copyright ©2017 Ruvuma . All rights reserved.