PORI la akiba la Liparamba wilayani Nyasa mkoani Ruvuma limebarikiwa kuwa na ndege wa Taifa ambaye anachinjwa kwa kuomba kibali maalum kutoka kwa Mheshimiwa Rais.Paulo Protas ni Mhhifadhi Msaidizi katika pori hilo anamtaja ndege huyo kuwa ni mkubwa mwenye uzito wa kilo16 na miguu yake ina urefu wa cm 130.TAZAMA zaidi makala kuhusiana na ndege https://www.youtube.com/watch?v=ghyZcSmzU1I
Regional Commissioner Office
Anuwani: 1 TUNDURU ROAD, 57180 S.L.P 74,SONGEA, RUVUMA.
Simu: 0252602256
Simu ya Mkononi: 0252602256
Barua Pepe: ras.ruvuma@tamisemi.go.tz
Copyright ©2017 Ruvuma . All rights reserved.