Muonekano wa sekondari mpya katika Kata ya Liwundi Halmashauri ya Nyasa mkoani Ruvuma ambayo imejengwa na serikali hivyo kupunguza changamoto ya wanafunzi wa eneo hilo kusafiri umbali mrefu kufuata shule
Picha ya chini ni nyumba ya walimu ambayo imetoa makazi bora kwa walimu wanaofundisha katika sekondari hiyo iliyojengwa kupitia Program ya Uboreshaji Elimu ya Sekondari SEQUIP
Regional Commissioner Office
Anuwani: 1 TUNDURU ROAD, 57180 S.L.P 74,SONGEA, RUVUMA.
Simu: 0252602256
Simu ya Mkononi: KERO PIGA 0800110174
Barua Pepe: ras.ruvuma@tamisemi.go.tz
Copyright ©2017 Ruvuma . All rights reserved.