Serikali ya Awamu ya Sita inayoongozwa na Rais Dkt Samia Suluhu Hassan kupitia program ya SEQUP imetoa shilingi bilioni tatu kujenga sekondari ya Wasichana ya Mkoa wa Ruvuma katika eneo la Migelegele Kata ya Lwinga Wilaya ya Namtumbo shule hiyo yenye uwezo wa kuchukua wanafunzi zaidi ya 1000 ambayo imesajiriwa kwa jina sekondari ya Dkt Samia Suluhu Hassan inatarajia kuanza Julai 2023.
Regional Commissioner Office
Anuwani: 1 TUNDURU ROAD, 57180 S.L.P 74,SONGEA, RUVUMA.
Simu: 0252602256
Simu ya Mkononi: 0252602256
Barua Pepe: ras.ruvuma@tamisemi.go.tz
Copyright ©2017 Ruvuma . All rights reserved.