Sekretarieti ya Mkoa wa Ruvuma ikiongozwa na Katibu Tawala wa Mkoa wa Ruvuma Ndugu Stephen Ndaki wamekagua mradi wa ujenzi wa bweni la wanafunzi wenye mahitaji maalum shule ya msingi ufundi Namtumbo ambao serikali imetoa shilingi milioni 100 kutekeleza mradi huo.
Mkuu wa shule hiyo Mustapha Ponera amesema kukamilika kwa mradi huo kutakidhi mahitaji ya ufundishaji na ujifunzaji kwa watoto wenye mahitaji maalum ili kupata haki ya kupata elimu
Regional Commissioner Office
Anuwani: 1 TUNDURU ROAD, 57180 S.L.P 74,SONGEA, RUVUMA.
Simu: 0252602256
Simu ya Mkononi: 0252602256
Barua Pepe: ras.ruvuma@tamisemi.go.tz
Copyright ©2017 Ruvuma . All rights reserved.