Mkurugenzi wa Idara ya Afya Ustawi wa Jamii na Lishe Ofisi ya Rais-TAMISEMI Dkt. Rashid Mfaume amempongeza Mkurugenzi wa Halmashauri ya Wilaya ya Mbinga Joseph Kashushura kwa kutenga fedha Shilingi Mil. 120 kutoka mapato ya ndani kwa ajili ya kutekeleza ujenzi wa wodi tatu ( wanaume, wanawake, watoto) zinazojengwa katika Hospitali ya Halmashauri ya Wilaya ya Mbinga.
Dkt. Mfaume ametoa pongezi hizo katika ziara ya ufatiliaji na usimamizi shirikishi iliyofanywa na timu ya wataalam kutoka OR-TAMISEMI kukagua utoaji wa huduma katika Hospitali ya Halmashauri ya Wilaya ya Mbinga
Regional Commissioner Office
Anuwani: 1 TUNDURU ROAD, 57180 S.L.P 74,SONGEA, RUVUMA.
Simu: 0252602256
Simu ya Mkononi: 0252602256
Barua Pepe: ras.ruvuma@tamisemi.go.tz
Copyright ©2017 Ruvuma . All rights reserved.