SERIKALI imetoa shilingi milioni 200 kupitia fedha za UVIKO kukamilisha ujenzi wa madarasa mapya kumi katika shule ya sekondari ya Maposeni Halmashauri ya Wilaya ya Songea mkoani Ruvuma.Madarasa yote kumi yana meza na Viti kila darasa 80.
Regional Commissioner Office
Anuwani: 1 TUNDURU ROAD, 57180 S.L.P 74,SONGEA, RUVUMA.
Simu: 0252602256
Simu ya Mkononi: KERO PIGA 0800110174
Barua Pepe: ras.ruvuma@tamisemi.go.tz
Copyright ©2017 Ruvuma . All rights reserved.