Katikati ni Mwenyekiti wa Kamati ya Siasa ya CCM Mkoa wa Ruvuma ambaye pia ni Mwenyekiti wa CCM wa Ruvuma Komred Oddo Mwisho akizungumza baada ya kukagua mradi wa ujenzi wa madarasa na mabweni katika sekondari ya Tunduru ambapo serikali imetoa shilingi milioni 369 kutekeleza mradi huo
Kamati ya Siasa ya CCM Mkoa wa Ruvuma imeanza ziara ya ukaguzi wa Miradil ya maendeleo katika Halmashauri zote nane za Mkoa wa Ruvuma
Regional Commissioner Office
Anuwani: 1 TUNDURU ROAD, 57180 S.L.P 74,SONGEA, RUVUMA.
Simu: 0252602256
Simu ya Mkononi: 0252602256
Barua Pepe: ras.ruvuma@tamisemi.go.tz
Copyright ©2017 Ruvuma . All rights reserved.