Sekretarieti ya Mkoa wa Ruvuma ikiongozwa na Katibu Tawala wa Mkoa wa Ruvuma Ndugu Stephen Ndaki katika ukaguzi mradi wa ujenzi wa nyumba ya mwalimu katika shule ya sekondari Korido Kata ya Mchomoro Halmashauri ya Wilaya ya Namtumbo ambapo serikali imetoa shilingi milioni 50 kutekeleza mradi huo uliofikia asilimia 75.
Regional Commissioner Office
Anuwani: 1 TUNDURU ROAD, 57180 S.L.P 74,SONGEA, RUVUMA.
Simu: 0252602256
Simu ya Mkononi: 0252602256
Barua Pepe: ras.ruvuma@tamisemi.go.tz
Copyright ©2017 Ruvuma . All rights reserved.