Serikali imetoa shilingi milioni 500 kuboresha Kituo cha afya Kalembo wilaya ya Mbinga mkoani Ruvuma.Kituo hicho kilifunguliwa mwaka 2003 na Aliyekuwa Makamu wa Rais Dkt Mohamed Ally Shein.Wakazi wa Mbinga wanapata huduma bora za afya kwa kutumia kituo hiki hivyo kupunguza kero waliokuwa wanapata kusafiri umbali mrefu hadi wilayani Mbinga,Hospitali ya Rufaa ya Peramiho na hospitali ya Rufaa ya Mkoa wa Ruvuma .
Tazama zaidi hapa https://www.youtube.com/watch?v=8556H4_cohw
Regional Commissioner Office
Anuwani: 1 TUNDURU ROAD, 57180 S.L.P 74,SONGEA, RUVUMA.
Simu: 0252602256
Simu ya Mkononi: 0252602256
Barua Pepe: ras.ruvuma@tamisemi.go.tz
Copyright ©2017 Ruvuma . All rights reserved.