Sekretarieti ya Mkoa wa Ruvuma ikiongozwa na Katibu Tawala wa Mkoa wa Ruvuma Ndugu Stephen Ndaki imekagua mradi wa majengo matatu katika hospitali ya Wilaya ya Namtumbo yaliyogharimu shilingi milioni 800.
Majengo ambayo yamejengwa ni jengo la afya ya kinywa,meno na macho,kliniki ya mama,baba na mtoto na jengo la mama ngojea.
Sekretarieti Mkoa wa Ruvuma imeagiza kuongeza kasi ya umaliziaji wa majengo hayo ambayo yapo katika hatua za Mwisho za umaliziaji
Regional Commissioner Office
Anuwani: 1 TUNDURU ROAD, 57180 S.L.P 74,SONGEA, RUVUMA.
Simu: 0252602256
Simu ya Mkononi: 0252602256
Barua Pepe: ras.ruvuma@tamisemi.go.tz
Copyright ©2017 Ruvuma . All rights reserved.