SERIKALI ya Awamu ya Sita imetoa shilingi milioni 800 ili kutekeleza mradi wa ujenzi wa majengo matatu katika hospitali ya Nyasa.
Majengo hayo ni wodi ya upasuaji na wodi mbili za wanawake na wanaume kwa ajili ya kulazwa wagonjwa waliofanyiwa upasuaji.
Regional Commissioner Office
Anuwani: 1 TUNDURU ROAD, 57180 S.L.P 74,SONGEA, RUVUMA.
Simu: 0252602256
Simu ya Mkononi: KERO PIGA 0800110174
Barua Pepe: ras.ruvuma@tamisemi.go.tz
Copyright ©2017 Ruvuma . All rights reserved.