JUMLA ya shilingi bilioni 3.8 zimetolewa na serikali ya Awamu ya sita kutekeleza miradi mitano ya maji katika Mkoa wa Ruvuma .
Mgeni rasmi katika hafla ya kusaini mikataba hiyo kati ya serikali na wakandarasi iliyofanyika katika ofisi ya Mkuu wa Wilaya ya Nyasa alikuwa ni Mkuu wa Mkoa wa Ruvuma Brigedia Jenerali Wilbert Ibuge ambaye aliwakilishwa na Mkuu wa Wilaya ya Nyasa Kanali Thomas Laban.
Regional Commissioner Office
Anuwani: 1 TUNDURU ROAD, 57180 S.L.P 74,SONGEA, RUVUMA.
Simu: 0252602256
Simu ya Mkononi: 0252602256
Barua Pepe: ras.ruvuma@tamisemi.go.tz
Copyright ©2017 Ruvuma . All rights reserved.