Serikali ya Awamu ya Sita chini ya uongozi wa Rais Samia Suluhu Hassan imeanza kutekeleza ujenzi wa bandari mpya ya kisasa ya Mbambabay ziwa Nyasa wilayani Nyasa mkoani Ruvuma kwa gharama ya Zaidi ya shilingi bilioni 70 lengo likiwa ni kuimarisha ushoroba wa maendeleo ya Mtwara ambayo ni njia fupi na rahisi kuhudumia mizigo ya Malawi kutokea bandari ya Mtwara.
Regional Commissioner Office
Anuwani: 1 TUNDURU ROAD, 57180 S.L.P 74,SONGEA, RUVUMA.
Simu: 0252602256
Simu ya Mkononi: 0252602256
Barua Pepe: ras.ruvuma@tamisemi.go.tz
Copyright ©2017 Ruvuma . All rights reserved.