Miss Utalii Tanzania 2020 Ruvuma Fidea Hilary bado anaendelea kutembelea vivutio vya utalii katika Mkoa wa Ruvuma kwa lengo la kusaidia kuvitangaza hivyo kufungua milango ta utalii katika Mkoa wa Ruvuma ambao mwenyezi Mungu ameubariki kwa kuwa na vivutio vya aina zote.Hapa Miss utalii huyo akiwa na Katibu Tawala wa Mkoa wa Ruvuma Stephen Ndaki ofisini kwake mjini Songea
Sanamu hiyo imejengwa ndani ya Makumbusho ya Taifa ya Majimaji mjini Songea kwa lengo la kuwakumbuka mashujaa wa vita vya Kagera waliopata ajali milima ya Lukumbuli wilayani Songea na kupoteza maisha wakati wanarudi kutoka katika vita dhdi ya Idd Amin wa Uganda mwaka 1979.
Mnara ambao umejengwa katika Makumbusho ya Taifa ya Majimaji mjini Songea,likiwa ni kaburi la pamoja ambalo walizikwa mashujaa wa vita ya Majimaji waliouawa kwa kunyongwa wa wajerumani mwaka 1906.
Regional Commissioner Office
Anuwani: 1 TUNDURU ROAD, 57180 S.L.P 74,SONGEA, RUVUMA.
Simu: 0252602256
Simu ya Mkononi: 0252602256
Barua Pepe: ras.ruvuma@tamisemi.go.tz
Copyright ©2017 Ruvuma . All rights reserved.