Mkuu wa Mkoa wa Ruvuma Kanali Laban Thomas akiongoza wanafunzi wa sekondari ya Dkt Samia Suluhu Hassan iliyopo wilayani Namtumbo kupanda miche ya matunda 378 kwenye viwanja vya sekondari hiyo maalum ya wasichana ya Mkoa wa Ruvuma .
Mkoa wa Ruvuma umepanga tarehe 19 ya kila mwezi kuwa siku maalum ya kupanda miti ya matunda katika shule za msingi,sekondari na Taasisi nyingine za serikali
Miti iliyopandwa katika shule hiyo ni Michungwa 130,malimao 30,Mioarachichi 151,Mipapai 23,Mipassion minne michenza 20 na Mipera 20 hivyo kufanya jumla ya miche ya matunda 378.
Regional Commissioner Office
Anuwani: 1 TUNDURU ROAD, 57180 S.L.P 74,SONGEA, RUVUMA.
Simu: 0252602256
Simu ya Mkononi: 0252602256
Barua Pepe: ras.ruvuma@tamisemi.go.tz
Copyright ©2017 Ruvuma . All rights reserved.