MITI aina ya mitiki ambayo inastawi vizuri wilayani Nyasa mkoani Ruvuma imefananisha na dhahabu inayotembea juu ya ardhi kutokana na hekta moja ya miti hiyo kuwezesha kumpatia mkulima shilingi milioni 400.Hayo yamesemwa wakati Kamati ya Siasa ya CCM Mkoa wa Ruvuma ikiongozwa na Mwenyekiti wake Ndugu Odo Mwisho ikikagua kitalu cha miche ya mitiki katika eneo la Puulu Kata ya Liuli wilayani Nyasa.
TAZAMA HABARI KWA KINA HAPA https://www.youtube.com/watch?v=swH1i2zGIu8
Regional Commissioner Office
Anuwani: 1 TUNDURU ROAD, 57180 S.L.P 74,SONGEA, RUVUMA.
Simu: 0252602256
Simu ya Mkononi: 0252602256
Barua Pepe: ras.ruvuma@tamisemi.go.tz
Copyright ©2017 Ruvuma . All rights reserved.