• Malalamiko |
    • Wasiliana nasi |
    • Majibu ya haraka |
    • Barua Pepe za Watumishi |
    • RSFMIS |
Ruvuma Region

Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Mkoa wa Ruvuma

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhamira
    • Uongozi wa Mkoa
  • Utawala
    • Muundo wa Sekretarieti
    • Idara
      • Uchumi na Uzalishaji
      • Mipango na Uratibu
      • Utawala na Rasilimali Watu
      • Elimu
      • Miundombinu
      • Maji
      • Afya
      • Menejimenti ya Serikali za Mitaa
    • Vitengo
      • Uhasibu na Fedha
      • Sheria
      • Tehama
      • Ukaguzi wa Ndani
      • Manunuzi na Ugavi
  • Wilaya
    • Wilaya ya Songea
    • Wilaya ya Mbinga
    • Wilaya ya Nyasa
    • Wilaya ya Tunduru
    • Wilaya ya Nantumbo
  • Halmashauri
    • Halmashauri ya Wilaya ya Madaba
    • Halmashauri ya Wilaya ya Mbinga
    • Halmashauri ya Wilaya ya Mbinga Mji
    • Halmashauri ya Wilaya ya Nyasa
    • Halmashauri ya Wilaya ya Namtumbo
    • Halmashauri ya Wilaya ya Songea
    • Halmashauri ya Manispaa ya Songea
    • Halmashauri ya Wilaya ya Tunduru
  • Fursa za Uwekezaji
    • Mifugo
    • Kilimo
    • Vivutio vya Utalii
    • Madini
    • Nyaraka za uwekezaji
  • Huduma
    • Huduma za Afya
    • Huduma za Elimu
  • Machapisho
    • Miongozo na Nyaraka za uwekezaji
    • Taratibu
    • Taarifa
    • jarida
    • fomu
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa Umma
    • Video
    • Hotuba za Viongozi
    • Maktaba ya Picha
    • habari
    • Matukio

MKANDARASI huyu ajenge barabara usiku na mchana

Imewekwa kuanzia tarehe: January 29th, 2024

Waziri wa Ujenzi Mheshimiwa Innocent Bashungwa amesema watatembeza bakora kwa Mkandarasi anayejenga barabara ya lami kutoka Amanimakoro hadi Ruanda wilayani Mbinga kuhakikisha anajenga barabara usiku na mchana kwa kuwa yupo nyuma kwa asilimia 75.

Akizungumza kwa nyakati tofauti na wananchi wa vijiji vya Amanimakoro na Ruanda Wilaya ya Mbinga na wananchi wa kijiji cha Lituhi Wilaya ya  Nyasa mkoani Ruvuma,Bashungwa amesema serikali imetenga jumla ya shilingi bilioni 155 kujenga barabara ya lami kuanzia Kitai hadi bandari Ndumbi ziwa Nyasa.

Hata hivyo amemtaka Mkandarasi anayejenga kipande cha barabara ya Amanimakoro hadi Ruanda wilayani Mbinga chenye urefu wa kilometa 35 kukamilisha kazi hiyo ambayo mkataba wake umekwisha tangu Desemba 2023 na mradi upo asilimia 25 tu.

Kwa upande wake Mkuu wa Mkoa wa Ruvuma Kanali Laban Thomas amesema watambana koo Mkandaras huyo ili akamilishe kazi  kwa kuwa serikali imewalipa zaidi ya shilingi bilioni 11 malipo ambayo ni makubwa kuliko kazi waliyoifanya.

Serikali imetenga zaidi ya shilingi bilioni 60 kujenga barabara ya lami kipande cha Amanimakoro hadi Ruanda chenye urefu wa kilometa 35 pia imetenga shilingi bilioni 96 kujenga barabara ya lami kipande cha Ruanda hadi Ndumbi chenye urefu wa kilometa 50.


Matangazo

  • JARIDA la RS Ruvuma toleo la Aprili 2025 April 30, 2025
  • VIGEZO vya kupata leseni ya biashara September 30, 2025
  • FURSA za uwekezaji mkoani Ruvuma June 30, 2025
  • ORODHA ya nyumba za kulala wageni mkoani Ruvuma December 31, 2025
  • Tazama zote

Habari Mpya

  • MWENGE wa Uhuru waikubali miradi yote Madaba

    May 09, 2025
  • RC Ruvuma ALIVYOSHIRIKI Makabidhiano mradi wa ujenzi wa Chuo cha Uhasibu Songea

    May 08, 2025
  • SERIKALI yatenga bilioni 18.5 kujenga chuo kikuu Ruvuma

    May 08, 2025
  • MWENGE wa Uhuru kukagua,kuzindua miradi 76 Ruvuma

    May 08, 2025
  • Tazama zote

Video

HAKIKISHA unafika kanisa la Peramiho-Rais Samia
Video Zaidi

Viungio vya Haraka

  • Songea Municipal Council
  • Mbinga District Council
  • Tunduru District Council
  • Madaba District Council
  • Nyasa District Council
  • Namtumbo Dictrict Council
  • Mbinga Town Council
  • Songea District Council

Tovuti Muhimu

  • Utumishi Portal
  • Government Portal
  • Tamisemi
  • Tanzania Revenue Authority

Waliotembelea Kijiografia

world map hits counter

Waliotembelea

free HitCounter

Ramani ya Eneo

Wasiliana nasi

    Regional Commissioner Office

    Anuwani: 1 TUNDURU ROAD, 57180 S.L.P 74,SONGEA, RUVUMA.

    Simu: 0252602256

    Simu ya Mkononi: KERO PIGA 0800110174

    Barua Pepe: ras.ruvuma@tamisemi.go.tz

Mawasiliano Mengine

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Majibu ya haraka
    • Ramani ya Mahala
    • Huduma

Copyright ©2017 Ruvuma . All rights reserved.