Katika utekelezaji wa Ilani ya Chama Cha Mapinduzi, Mhe, Rais ameboresha eneo la mafunzo ya ufundi stadi ambapo kwa Mkoa sasa kuna vyuo vitatu vya VETA.Mkuu wa Mkoa wa Ruvuma Christina Mndeme amesema mkoa umeletewa fedha za ujenzi wa vyuo viwili vya VETA vya Nyasa na Namtumbo ambapo chuo cha VETA Namtumbo kimegharimu Tsh. biln. 4. Na VETA Nyasa kimegharimu shilingi 2,196,581,105.29 na hivyo ufanya jumla ya fedha iliyotumika kutekeleza miradi hiyo kuwa ni shilingi 6,196,581,105.29.
Regional Commissioner Office
Anuwani: 1 TUNDURU ROAD, 57180 S.L.P 74,SONGEA, RUVUMA.
Simu: 0252602256
Simu ya Mkononi: 0252602256
Barua Pepe: ras.ruvuma@tamisemi.go.tz
Copyright ©2017 Ruvuma . All rights reserved.