MKOA WA RUVUMA ULIVYOJIPANGA KUKABILIANA NA EBOLA
Mganga Mkuu wa Mkoa wa Ruvuma Dr Luis Chomboko ameitaja mikakati mbalimbali ya kukabiliana na ugonjwa wa ebola ambao umeingia nchi jirani ya Uganda.
Amesema Mkoa wa Ruvuma sio kisiwa ni Mkoa wa kimataifa ambao unapakana na nchi mbili za Malawi na Msumbiji na kwamba Mkoa una kiwanja cha ndege Songea ambacho kinapokea wageni wa ndani na nje ya nchi.
Dr Chomboko ameitaja moja ya mikakati ni kutoa elimu ta ugonjwa huo kwa kutumia vyombo vya habari hasa redio za kijamii na kutoa elimu kwenye mikutano ya hadhara na kwenye mikusanyiko ya watu.
Regional Commissioner Office
Anuwani: 1 TUNDURU ROAD, 57180 S.L.P 74,SONGEA, RUVUMA.
Simu: 0252602256
Simu ya Mkononi: 0252602256
Barua Pepe: ras.ruvuma@tamisemi.go.tz
Copyright ©2017 Ruvuma . All rights reserved.