Pichani katikati ni Mkuu wa Mkoa wa Ruvuma Kanali Ahmed Abbas Ahmed akiongoza kikao cha kwanza cha maandalizi ya mapokezi ya Mwenge wa Uhuru 2024 ambao unatarajia kuingia mkoani Ruvuma Juni 8 mwaka huu na kukamilisha mbio zake Juni 16 mwaka huu.
Mwenge wa Uhuru utapokelewa mkoani Ruvuma ukitokea mkoani Mtwara
Regional Commissioner Office
Anuwani: 1 TUNDURU ROAD, 57180 S.L.P 74,SONGEA, RUVUMA.
Simu: 0252602256
Simu ya Mkononi: 0252602256
Barua Pepe: ras.ruvuma@tamisemi.go.tz
Copyright ©2017 Ruvuma . All rights reserved.