WANAFUNZI mkoani Ruvuma wameanza kunufaika na masomo ya sekondari nje ya mfumo rasmi,baada ya ofisi ya Mkuu wa Mkoa wa Ruvuma kwa kushirikiana na Mkufunzi Mkazi wa Taasisi ya Elimu ya Watu Wazima Mkoa wa Ruvuma kuanzisha vipindi vya masomo ya sekondari kwa wanafunzi wa maarifa(QT) ambapo kuanzia mwezi huu Mei vipindi vimeanza kurushwa kila siku za Jumatatu hadi Ijumlaa kuanzia saa 4.00 asubuhi hadi saa 8.00 kupitia ALADA SONGEA CABLE TV.Vipindi hivyo pia vinatarajia kupatikana SONGEA ONLINE TV.
Regional Commissioner Office
Anuwani: 1 TUNDURU ROAD, 57180 S.L.P 74,SONGEA, RUVUMA.
Simu: 0252602256
Simu ya Mkononi: 0252602256
Barua Pepe: ras.ruvuma@tamisemi.go.tz
Copyright ©2017 Ruvuma . All rights reserved.