Mkuu wa Mkoa wa Ruvuma, Kanali Laban Thomas, akipokiea Tuzo ya usimamizi mzuri wa zao na ubora wa Korosho, kutoka kwa Naibu Waziri wa kilimo, Mheshimiwa Antoy Mavunde.
Tuzo hiyo imetolewa siku ya mkutano wa wadau wa tasnia wa zao la korosho, uliofanyika katika ukumbi wa bombambili songea, mkoani Ruvuma.
Regional Commissioner Office
Anuwani: 1 TUNDURU ROAD, 57180 S.L.P 74,SONGEA, RUVUMA.
Simu: 0252602256
Simu ya Mkononi: 0252602256
Barua Pepe: ras.ruvuma@tamisemi.go.tz
Copyright ©2017 Ruvuma . All rights reserved.