Mwenye tabasamu ni Mkurugenzi Mkuu wa RUWASA Mhandisi Clement Kivegalo akiwa kwenye mradi wa maji kijiji cha Paradiso Halmashauri ya Mbinga mkoani Ruvuma.
Mradi huu ambao umeanza kuwahudumia wananchi wa vijiji vya Amanimakoro,Kigonsera na Mkako tangu Agosti 2021 umegharimu zaidi ya shilingi milioni 249.
Regional Commissioner Office
Anuwani: 1 TUNDURU ROAD, 57180 S.L.P 74,SONGEA, RUVUMA.
Simu: 0252602256
Simu ya Mkononi: 0252602256
Barua Pepe: ras.ruvuma@tamisemi.go.tz
Copyright ©2017 Ruvuma . All rights reserved.