Timu ya Afya,Ustawi wa Jamii na Lishe kutoka Ofisi ya Rais - TAMISEMI ikiongozwa na Mkurugenzi Dkt. Rashid Mfaume imewasili katika mkoa wa Ruvuma na kupokelewa na Katibu Tawala wa Mkoa wa Ruvuma Bi. Rehema Sefu Madenge kwaajili ya ziara ya siku mbili katika Mkoa huo baada ya kukamilisha ziara katika mikoa ya Rukwa,Songwe,Mbeya,Iringa na Njombe lengo la ziara hiyo ni Usimamizi shirikishi na Ufuatiliaji wa Huduma katika maeneo ya kutolea huduma za Afya.
Regional Commissioner Office
Anuwani: 1 TUNDURU ROAD, 57180 S.L.P 74,SONGEA, RUVUMA.
Simu: 0252602256
Simu ya Mkononi: 0252602256
Barua Pepe: ras.ruvuma@tamisemi.go.tz
Copyright ©2017 Ruvuma . All rights reserved.