Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi na Usalama Tanzania, Jenerali Jacob John Mkunda akiwa na Mwenyeji wake Mkuu wa Mkoa wa Ruvuma Kanali Ahmed Abbas Ahmed amewaongoza Wananchi i wa Mji wa Songea katika kilele cha maadhimisho ya kumbukizi ya mashujaa wa Vita ya Maiimaji yaliyofanyika kwenye viwanja vya Makumbusho ya Taifa ya Majimaji Mahenge mjini Songea..
Mashujaa wa Vita ya Majimaji wapatao 67 waliuawa kikatili na wajerumani kwa kunyongwa mwaka 1906 kisha kuzikwa katika Makaburi mawili yaliyopo ndani ya Makumbusho ya Majimaji Songea
Regional Commissioner Office
Anuwani: 1 TUNDURU ROAD, 57180 S.L.P 74,SONGEA, RUVUMA.
Simu: 0252602256
Simu ya Mkononi: 0252602256
Barua Pepe: ras.ruvuma@tamisemi.go.tz
Copyright ©2017 Ruvuma . All rights reserved.