MKUU wa Mkoa wa Ruvuma Brigedia Jenerali Wilbert Ibuge ameiongoza Kamati ya Ulinzi na Usalama Mkoa wa Ruvuma na baadhi ya watumishi wa Halmashauri ya Madaba kuzima moto katika shamba la miti la serikali la Wino Halmashauri ya Madaba na kufanikiwa kuzima moto ambao ulidumu kwa siku tatu.
Kupata habari kwa kina kuhusu tukio la shamba la Wino kuungua moto tazama hapa https://www.youtube.com/watch?v=e5xcGFvju4k
Regional Commissioner Office
Anuwani: 1 TUNDURU ROAD, 57180 S.L.P 74,SONGEA, RUVUMA.
Simu: 0252602256
Simu ya Mkononi: 0252602256
Barua Pepe: ras.ruvuma@tamisemi.go.tz
Copyright ©2017 Ruvuma . All rights reserved.