Mkuu wa Mkoa wa Ruvuma Kanali Laban Thomas amewaasa wanafunzi katika shule ya Sekondari Dkt Emmanuel Nchimbi iliyopo Manispaa ya Songea kusoma kwa bidii na kuwa na nidhamu wakati wote.
Kanali Thomas ametoa ushauri huo katika ziara ya kikazi ya kukagua miradi ya maendeleo katika Halmashauri ya Manispaa ya Songea ambapo katika shule hiyo alikagua mradi wa madarasa na mabweni vinavyogharimu shilingi milioni 905..
Mkuu wa Mkoa amewapa wanafunzi hao mchele Kg.450 kwa ajili ya chakula chao na na zawadi ya mipira mitatu kwa ajili ya michezo.
Regional Commissioner Office
Anuwani: 1 TUNDURU ROAD, 57180 S.L.P 74,SONGEA, RUVUMA.
Simu: 0252602256
Simu ya Mkononi: 0252602256
Barua Pepe: ras.ruvuma@tamisemi.go.tz
Copyright ©2017 Ruvuma . All rights reserved.