Mkuu wa Mkoa wa Ruvuma Christina Mndeme ameliagiza Baraza jipya la madiwani Manispaa ya Songea kuhakikisha Kituo kikuu cha mabasi cha Kata ya Tanga mjini Songea kinaanza kufanya kazi kikamilifu ifikapo Desemba 31 mwaka huu na kuagiza kituo cha mabasi Msamala kutumika kwa shughuli nyingine.SOMA habari kwa kina https://www.youtube.com/watch?v=IKsxe_hqHHQ&t=115s
Regional Commissioner Office
Anuwani: 1 TUNDURU ROAD, 57180 S.L.P 74,SONGEA, RUVUMA.
Simu: 0252602256
Simu ya Mkononi: 0252602256
Barua Pepe: ras.ruvuma@tamisemi.go.tz
Copyright ©2017 Ruvuma . All rights reserved.