MKUU wa Mkoa wa Ruvuma Christina Mndeme ametoa rai kwa wanaruvuma kufanya utalii wa ndani ili kuboresha utalii ndani na nje ya Mkoa wa Ruvuma.Alikuwa anazungumza na wadau wa Kamati ya Ushauri wa Mkoa wa Ruvuma kilichofanyika kwenye ukumbi wa Manispaa ya Songea.SOMA habari kwa kina hapa https://www.youtube.com/watch?v=qSRG257-xqA
Regional Commissioner Office
Anuwani: 1 TUNDURU ROAD, 57180 S.L.P 74,SONGEA, RUVUMA.
Simu: 0252602256
Simu ya Mkononi: 0252602256
Barua Pepe: ras.ruvuma@tamisemi.go.tz
Copyright ©2017 Ruvuma . All rights reserved.