Mkuu wa Mkoa wa Ruvuma Kanali Laban Thomas ameipongeza Halmashauri ya Wilaya ya Tunduru kwa kupata Hati safi katika matokeo ya ukaguzi wa CAG kwa mwaka wa fedha unaoishia Juni 30,2022.
Kanali Thomas ametoa pongezi hizo wakati anazungumza kwenye kikao cha Baraza maalum la CAG kilichofanyika mjini Tunduru
Mkuu wa Mkoa wa Ruvuma amekamilisha ziara ya kutembelea Halmashauri nane za Mkoa wa Ruvuma kwenye mabaraza maalum ya CAG
Regional Commissioner Office
Anuwani: 1 TUNDURU ROAD, 57180 S.L.P 74,SONGEA, RUVUMA.
Simu: 0252602256
Simu ya Mkononi: 0252602256
Barua Pepe: ras.ruvuma@tamisemi.go.tz
Copyright ©2017 Ruvuma . All rights reserved.