Mkuu wa Mkoa wa Ruvuma Christina Mndeme amekagua madaraja na makaravati kwenye barabara Kuu ya Songea Njombe ili kuchukua tahadhari kufuatia kuendelea kwa mvua nyingi katika Mkoa wa Ruvuma.Mndeme ameendelea kutoa rai kwa kwa madereva na watumiaji Wa barabara wote kuchukua tahadhari hasa kipindi hiki cha mvua na kuwaomba wananchi kutoa taarifa wanapoona hali ya barabara isiyo ya kawaida ili hatua za haraka ziweze kuchukuliwa ili kuepusha maafa
Regional Commissioner Office
Anuwani: 1 TUNDURU ROAD, 57180 S.L.P 74,SONGEA, RUVUMA.
Simu: 0252602256
Simu ya Mkononi: 0252602256
Barua Pepe: ras.ruvuma@tamisemi.go.tz
Copyright ©2017 Ruvuma . All rights reserved.