Mkuu wa Mkoa wa Ruvuma Brigedia Jenerali Wilbert Ibuge amekagua mradi wa maji unaotekelezwa kwenye vijiji vya Mandela na Likuyu Wilaya ya Namtumbo.Mradi huo unaotarajia kuhudumia wananchi zaidi ya 13,000 umegharimu zaidi ya shilingi bilioni tatu.Mradi umefikia asilimia 96 na unatarajia kukamilika kwa asilimia 100 ifikapo Septemba 30 mwaka huu.
TAZAMA HABARI KWA KINA HAPA https://www.youtube.com/watch?v=tKYlDoNMOk8&t=3s
Regional Commissioner Office
Anuwani: 1 TUNDURU ROAD, 57180 S.L.P 74,SONGEA, RUVUMA.
Simu: 0252602256
Simu ya Mkononi: 0252602256
Barua Pepe: ras.ruvuma@tamisemi.go.tz
Copyright ©2017 Ruvuma . All rights reserved.