Mkuu wa Mkoa wa Ruvuma Christina Mndeme amekagua mradi wa maji kata ya Lilambo wenye thamani ya shilingi zaidi ya bilioni moja.Mradi huo umekamilika kwa asilimia 98 ambapo Mndeme ameagiza asilimia mbili ya utekelezaji wa mradi huo ikamilishwe haraka ili wananchi wa kata ya Lilambo zaidi ya 11,000 waanze kunufaika na mradi wa maji.SOMA habari zaidi hapa https://www.youtube.com/watch?v=XaB0LiF5IBA
Regional Commissioner Office
Anuwani: 1 TUNDURU ROAD, 57180 S.L.P 74,SONGEA, RUVUMA.
Simu: 0252602256
Simu ya Mkononi: 0252602256
Barua Pepe: ras.ruvuma@tamisemi.go.tz
Copyright ©2017 Ruvuma . All rights reserved.