Mkuu wa Mkoa wa Ruvuma Brigedia Jenerali Wilbert Ibuge amefanya ya kikazi Wilaya ya ya Tunduru ambapo amekagua miradi mbalimbali ya Maendeleo ukiwemo mradi wa maji Mkowela kata ya Namakambale uliogharimu zaidi ya shilingi milioni 160 ambao unahudumia wakazi 3500.TAZAMA HABARI KWA KINA HAPAhttps://www.youtube.com/watch?v=5FGtglUGCQk
Regional Commissioner Office
Anuwani: 1 TUNDURU ROAD, 57180 S.L.P 74,SONGEA, RUVUMA.
Simu: 0252602256
Simu ya Mkononi: 0252602256
Barua Pepe: ras.ruvuma@tamisemi.go.tz
Copyright ©2017 Ruvuma . All rights reserved.