Mkuu wa Mkoa wa Ruvuma Brigedia Jenerali Wilbert Ibuge amehudhuria mazishi ya mzee Martin Komba Manyanya ambaye ni Baba mzazi wa Mbunge wa Nyasa Mhandisi Stella Martin Manyanya.Mazishi yake yamefanyika katika kijiji cha Kihagara Wilaya ya Nyasa.Mzee Martin Manyanya amefariki akiwa na umri wa miaka 94.Fuatilia aliyoyasema RC IBUGE wakati anazungumza katika ibada ya mazishi iliyofanyika Kanisa katoliki la Kihagara.TAZAMA habari kwa kina hapa https://www.youtube.com/watch?v=s5ds1rDhsVE
Regional Commissioner Office
Anuwani: 1 TUNDURU ROAD, 57180 S.L.P 74,SONGEA, RUVUMA.
Simu: 0252602256
Simu ya Mkononi: 0252602256
Barua Pepe: ras.ruvuma@tamisemi.go.tz
Copyright ©2017 Ruvuma . All rights reserved.